Select Page
Mfumo wa utafiti wa simu ya mkononi wa kampuni za Kantar katika Afrika na Mashariki ya Kati

Zawadiwa kwa maoni yako!

Tungependa kujua unachofikiria

Tuambie unachofikiria

Zawadiwa kwa kutupa maoni yako kuhusu bidhaa na huduma unazotumia kila siku. Inachukua dakika chache tu na unaipata kwenye simu yako ya mkononi ili uufanye karibu mahali popote!

Hatua ya 1: Jisajili kwa ajili ya tafiti

Jiunge na jopo letu la mtandaoni kwa kujaza fomu fupi ya usajili. Kisha utaelekezwa kwenye mfumo wetu wa utafiti ambapo tutakuomba ujaze baadhi ya maelezo ya binafsi – hili ni la kuhakikisha kuwa una nafasi kubwa ya kuhitimu kufanya tafiti zetu zinazosisimua

Hatua ya 2: Anza kupote tafiti

Tutakutumia mwaliko wa utafiti kwa kila nafasi ya utafiti itakayojitokeza

N

Hatua ya 3: Kamilisha utafiti wako

Bofya tu kiungo unachopokea ili uanze utafiti. Kuwa makini ili utoe majibu bora na uhakikishe kwamba umekamilisha utafiti wote

Hatua ya 4: Zawadiwa

Zawadiwa kwa pesa zilizotangazwa kwa kila utafiti unaokamilisha. Kwa kawaida tunazawadi muda wa mazungumzo, pesa za wastani ni US$ 1.5 – zinalipwa katika sarafu ya nchi yako

Zawadi

Utapokea kiibukizi otomatiki cha muda wa mazungumzo au msimbo wa vocha pindi tu unapokamilisha utafiti

Kwa nini ujiunge?
Ni haraka na rahisi na unaweza kuzawadiwa kwa muda wa mazungumzo au vocha kutoka kwenye baadhi ya maduka yako uyapendayo.
Ni nini kinachotendeka baada ya kujiunga?
Utaalikwa kushiriki katika tafiti za mtandaoni zenye zawadi. Utapokea viungo vya tafiti kupitia SMS au barua pepe. Utajipata ukishiriki maoni yako kuhusu mada unazofahamu kama vile bidhaa za watumiaji, huduma ya afya, elimu, mtindo wako wa maisha na mengine mengi!
Njia ni gani ya kujiunga?
Toa tu anwani ya barua pepe na nambari yako ya simu ya mkononi kwa kujaza fomu ya usajili.

Kiel Ambacho Wahojiwa Wetu Wanasema.

‘Muda wa mazungumzo ambao nimepokea kufikia sasa umechangia vizuri sana kwenye biashara na maisha yangu.’ Afrika Kusini

Siegried

‘Asante sana!’ Afrika Kusini

Armanda

‘Tafadhali niruhusu kujiunga kwenye jopo lenu a utafiti.’ Kenya

Vincent

‘Ninashangaa! Nilidhani ulikuwa utani mwanzo, lakini baadaye nikaona muda wa mazungumzo kwenye simu yangu.’ Ethiopia

Tizazu

‘Mwanzo, ningependa kuwashukuru sana kwa kuniruhusu kuwa mmoja wa watu wanaoshiriki katika tafiti zenu, ninashukuru sana.’ Zambia

Chipila

‘Asante sana. Ningependa kupokea tafiti zaidi lakini ninaomba kujibu baada ya saa 6-7 jioni.’ Afrika Kusini

Ntandoe

Mashindano

Tunafanya mashindano ya kila mara ambapo kujiunga kwenye jopo letu, kumpendekezea rafiki na kushiriki katika tafiti kunaweza kukupa kiingilio katika droo zetu.

Takwimu

MAHOJIANO YALIYOFANYWA

NCHI AMBAZO ZINARUHUSIWA KUSHIRIKI UTAFITI

MASWALI YA KIPEKEE YALIYOJIBIWA

ZAWADI ZINAZOLIPWA ($US)